top of page

MAFUNZO KWA VIJANA
Kauli Mbiu
Kijana kuwa na nia "afya na uchumi"
MADA ZITAKAZO JADILIWA:
-
Afya ya Akili
-
Elimu ya Fedha na Uwekezaji
-
Ujasiriamali kwa vijana
-
Elimu ya kodi na urasilimishaji wa biashara
​
Muda: 3 Asubuhi - 9 Jioni
Tarehe: 30/08/2025
Mahali: NGOME HOUSE - Sinza Africasana
Hakuna kiingilio. Chakula cha mchana bure.
bottom of page