top of page

Vijana kukua sokoni na NIA Initiative

Kauli mbiu: Kuamka, Kujifunza, na Kukua!

Karibu kwenye Vijana Kukua Sokoni, programu ya kipekee ya ushauri (mentorship) kwa vijana, inayolenga kuwajengea uwezo katika maeneo ya maisha, taaluma, uongozi, na ujasiriamali. Jiunge nasi kujifunza kutoka kwa watu wenye uzoefu na kuchukua hatua kuelekea ndoto zako.

Mwisho wa kujisajili: Tarehe 10 Agosti 2025

Ushauri (mentorship) utaanza rasmi: Tarehe 30 Agosti 2025

Asante kwa kuwasilisha!

© 2025 NIA Initiative. Designed by Sam .S. Sewando

bottom of page